Deuteronomy 4:40

40 aMshike amri na maagizo yake ninayowapa leo, ili mpate kufanikiwa ninyi na watoto wenu baada yenu, na mpate kuishi maisha marefu katika nchi awapayo Bwana Mwenyezi Mungu wenu siku zote.

Miji Ya Makimbilio

Copyright information for SwhKC